Friday, December 31, 2010

MISS REDDS 2010

Baadhi ya Warembo watakaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010, katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Balozi wa Redd's 2o1o katika fukwe za Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar,Wageni waalikwa mbalimbali walihudhulia tukio hilo.mshindi atatangazwa siku ya Mashindano ya Miss Tanzania tarehe 11/09/2010 na atakabidhiwa zawadi zake siku hiyo

0 comments:

Post a Comment